Home

Tanzanite Society

Jumuiya ya Watanzania - Japani

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh. Dr. Mohammed Gharib Bilal atakuwa katika ziara ya kikazi hapa Japan hivi karibuni. Wakati akiwa Japan, pamoja na shughuli nyingine Mh. Bilal ametenga muda ambao atautumia kukutana na kuzungumza na Watanzania wanaoishi hapa Japan. Mahali, siku na muda wa tukio hilo ni kama ifuatavyo;

 

Mahali: Hotel New Otani Tokyo 4-1 Kioi-cho, Chiyoda-ku, Tokyo 102-8578.

 

Siku: Jumatano, tarehe 21/05/2014.

 

Muda: Saa kumi na mbili kamili (12:00) jioni.

Tanzanite Society

 

1. Wajue Viongozi wake

 

2. Dira na Malengo ya Jumuiya

 

3. Mlezi wa Jumuiya - Ubalozi wa Tanzania Japani

 

4. Kujiunga na Jumuiya

 

5. Jiunge nasi kupitia Facebook au Twitter

 

6. Moderator

 

7. Blog and Photo gallary

 

8. Andikisha taarifa zako hapa

Habari na Matukio

1. Ibada ya kumwembea Mzee Mwombeki itafanyika Jumapili tarerehe 6 March 2016. Kuanzia saa kumi na mbili kamili jioni (6:00 p.m.)

Mahali: Ukumbi wa Odasaga (Ndani ya jengo la Station ya Odakyu Sagamihara)

2. Mkutano wa viongozi wa jumuiya ubalozini tarehe 11 Mei 2014 kuanzia saa nane mchana. Tuhudhurie wote bila kukosa.

3. Mkutano wa Watanzania WOTE siku ya Jumapili tarehe 18/05/2014 kuanzia saa nane kamili (8:00) mchana katika ukumbi wa ubalozi wetu kule Setagaya. Mkutano huu ni muhimu sana kwani utajadili masuala yanayohusiana na maendeleo ya Jumuiya yetu ikiwa ni pamoja na nafasi mbalimbali za uongozi ambazo zimeachwa wazi kwa sababu mbalimbali na maandalizi ya mapekezi ya ugeni wa Makamu wa Rais ikiwa ni pamoja na kukubaliana juu ya ujumbe tutakaotaka kumpatia atakapokutana nasi.

 

Mkutano

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh. Dr. Mohammed Gharib Bilal atakutana na Watanzania wote waishio Japani - Tarehe 21/5/2014. Soma juu kwa maelezo zaidi

Get to Know Tanzania

 

 

1. Jina : Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania

Name: United Republic of Tanzania

2. Mahala: Afrika ya Mashariki

Location: Eastern Africa

 

3. Lugha Maalum: Kiswahili, Kingereza

Main Languages: Swahili, English

 

4. Idadi ya Watu : Milioni 46 ( Makadirio)

Population: Approx. 46Million

 

5. Sehemu za kutembelea Tanzania

Place to visit in Tanzania

 

Zaidi/More...

COPYRIGHT © 2014 | ALL RIGHTS RESERVED

PRIVACY STATEMENT | TERMS & CONDITIONS